Google PlusRSS FeedEmail

POP STAR WA UINGEREZA ADELE ATANGAZA UJIO WAKE MPYA

                             

Adele ni msanii wa kwanza wa kike kutoka Uingereza kupenya haraka kwenye soko la muziki Marekani kwa muda mfupi na kwa ushawishi mkubwa.

Ni miaka 4 sasa 4toka msanii wa muziki wa Pop  Adele aachie album . Baada ya album yake ya mwisho ’21’ ya mwaka 2011 Adele alitangaza kuwa hatotoa album yoyote mpaka mwaka 2015.

              
Mwaka 2012 kwenye tuzo za 54th GRAMMY Awards, Adele aliondoka na tuzo 6 za GRAMMY akiwa msanii wa kike aliongoza kwa tuzo nyingi zaidi mwaka huo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging