Msanii wa muziki wa kizazi kipya Q-Chiller amesema ametunga wimbo ambao atapenda utoke siku atakapokuwa ameshakufa.akizungumza na BBC Q - Chiller amesema ''Nimefanya ngoma inayojulikana kama Asante,wimbo huo sitaachia mpaka siku ambayo nitakuwa nimekufa..
Q CHILLER ''WIMBO WA ASANTE UTOKE NIKIFA''