Google PlusRSS FeedEmail

RASMI IREN UWOYA BUNGENI APETA VITI MAALUMU VIJANAMwigizaji Iren Uwoya amefanikiwa kushinda kwa kishindo na ‘kuukwaa’ Ubunge viti maalum Kupitia vijana, katika hatua zote mbili.

Iren alishindwa kuficha furaha yake mbele ya kamera , kwa kueleza kuwa dalili zilionekana tangu Tabora baada ya kupigiwa kura kwa wingi.

“Kuna mtu tulifungana lakini asante mungu nmefanikiwa kupita kamati kuu, so yah nmefanikiwa” alisema Iren.

Katika ‘line’ nyingine, wasanii kadhaa wamejitokeza kumpongeza Uwoya wakidai ni hatua kubwa kwa sanaa yao.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging