Google PlusRSS FeedEmail

WEMA SEPETU ASHAMBULIWA MTANDAONI

Actress grade one Bongo Wema Sepetu, amepokea mashambulizi makubwa kutoka kwa followers wake zaidi ya laki 8 Instagram, baada ya kudai wafuasi wa UKAWA hawajielewi.

Picha lilianza pale ambapo mwanachama huyo halali wa CCM, alipoweka picha ya Rais Kikwete na viongozi wengine wa CCM na kuwataka wale wote wanaotumia jina lake kwenye mtandao huo, kuacha ‘kupost’ picha za mgombea Urais wa CHADEMA Lowassa kwa kuwa yeye ni Team Magufuli.

“Wamoja havai Mbili……
Alafu nina msg to Team Wema … Please my darlings… kama kuna mtu anatumia account yenye jina langu naomba msimpost Lowassa tafadhal… Kama unashindwa then badili tu jina… Dont use my name kumpost Lowassa …. Jamani Iam Not Team Lowassa…. Thank u… CCM tu hapa… TeamMagufuli to death … Nilishasema mi ni CCM Damu Kabisa… Sidanganyiki…
UKAWA mtaenda msojielewa…” aliandika Wema.

Katika ‘line’ nyingine, Wema alidai hatetereshwi na yoyote kwa kuwa kufuata itikadi Fulani ni haki ya mtu binafsi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging