Google PlusRSS FeedEmail

WIZ KHALIFAH AJIKUTA MATATANI

Rapper na mwanamitindo Wiz Khalifah, amekamatwa na polisi uwanja wa ndege kwa kosa la kugoma kuacha kuendesha hoverboard kiwanjani humo.

Instagram zimesambaa video na picha mob, zikionyesha tukio hasa lilivyokuwa huku nyingi zikionyesha akitiwa pingu.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging