Google PlusRSS FeedEmail

WOLPER AMUUNGA MKONO LOWASSA

Katika kile kinachoonekana kwamba ameridhika na mgombea Urais Tanzania, kupitia CHADEMA/UKAWA actress na mrembo kiwango Bongo Jaquline Massawe Wolper, amejinadi kura yake ya Urais Oktoba anaipeleka kwa mgombea huyo Edward Lowassa.

Kupitia Instagram Jack, anashare picha kadhaa za matukio yanayoendelea kwenye kambi ya UKAWA. Katika ‘line’ nyingine, Wolper amewaacha midomo wazi followers wake zaidi ya laki 6 Instagram baada ya kutangaza kuanzia kipindi hiki ataitwa Jaquline Wolper Lowassa

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging