Google PlusRSS FeedEmail

50 CENT AMCHOKOZA TENA P.DIDDY

Baada ya kurushiana maneno ‘machafu’ Instagram kati ya rapper 50 Cent na French Montana, 50 ameonekana kuhitaji zaidi Drama hiyo kuendelea.

French alianzisha mzozo kati ya Diddy na Cents, akihusishwa vinywaji vyao vinavyofanya poa sokoni vya Effen Vodka na Ciroc.

Sasa 50 Cents ameibuka leo na kudai kinywaji cha Diddy Ciroc, si kizuri kwa kuwa kina madhara kiafya. 50 amesema Ciroc ina zaidi ya ‘Calories’ 1700 haina ‘kilevi’ chenye kiwango na hakina ladha.

Tofauti ni kwamba katika bifu hii Diddy, hajajibu hata neno.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging