Google PlusRSS FeedEmail

BEN PAUL AWAONYA WASANII WENZAKE

                          

Nyota wa muziki Nchini Ben Paul '' Benard Paul ''amewataka wasanii wenzake kuacha ushabiki wa kisiasa,kama hawana uelewa wa maswala ya kisiasa,kwani siasa inaweza kufanya watu kugawanyika kutokana na umaarufu na upenzi wa wapenzi wa kazi zao..

Akiongea na Pro 24 amesema anashangazwa na baadhi ya wasanii kuandika ujumbe wa kisiasa katika kurasa zao katika mitandao ya kijamii..

Alisikika akisema '' wasanii wengi hawajui maswala ya siasa anasikitishwa na wasanii wenzake kuandika ujumbe kwenye kurasa zao za mitandao bila kuwa na uhakika wa wanachikiandika 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging