Google PlusRSS FeedEmail

BREAKING NEWS ''MBASHA ASHINDA KESI''

   

Aliyekuwa mume wa mwanamuziki wa Injili Flora Mbasha,  Emmanuel Mbasa ambaye nae pia ni mwanamuziki wa Injili ,Ameshinda kesi iliyokuwa ikimkabili katika kesi ya kubaka,katika mahakama ya wilaya ya Ilala.Taarifa zaidi zitakujia hv punde

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging