Google PlusRSS FeedEmail

FETTY APOTEZA FAHAMUJumamosi ya Septemba 26 haikuwa poa kwa Mwanamuziki Fetty Wap baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari alipokuwa anaendesha pikipiki.

Kwa mujibu wa mtandao wa habari za burudani TMZ, umeandika kuwa Fetty alikuwa ana overtake gari la mbele yake kumbe kulikuwa kunagari nyinginge kwa mbele ambapo lilimgonga na kuanguka.

Fetty alipoteza fahamu kabla ya askari wa usalama wa barabarani walipofika na kumsaidia kumpeleka hospital.

Mpaka sasa taarifa toka kwa Dj Louie Style ambaye ndiye mtu wake wa karibu zinasema jamaa anaendelea vizuri huku akitoa shukrani kwa mashabiki wake waliokuwa wanamuombea apoke haraka.

Ajali hii inatokea ikiwa ni siku moja baada ya Mwanamuziki huyo kutoa albamu yake ya kwanza.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging