Google PlusRSS FeedEmail

FRENC MONTANA AWEKA WAZI MAHUSIANO YAKEKama wewe ni mmoja kati ya wapenzi wa filamu za Kimarekani, basi utakuwa unamfahamu na kuvutiwa na actress Sanaa Lethan, aliyeigiza kwenye filamu ya Brown sugar.

TMZ waliwahi kuripoti kuhusu rapper French Montana, kujidai mtaani kwamba anatoka na mrembo huyu.

Sasa akifunguka kubitia kwenye show ya radio ya Big Boy, sanaa amethibitisha kinaga ubaga japo hakuweka wazi jina la French, ila sifa alizozitaja zinarandana hasa na mkali huyo wa Coke Boys.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging