Google PlusRSS FeedEmail

INSPECTOR HAROUN AFANYA NGOMA TATU AFRIKA KUSINI

Mkongwe wa Bongo flava Inspector ‘Babu’ Haroun, ameelezea lengo la kusafiri kuelekea South Africa (Africa Kusini) alikokaa kwa majuma mawili.

Akifunguka kupitia  Times FM, Babu amedai alikwenda kufanya ziara ya kimuziki iliyompelekea kurekodi ngoma 3.

“Nilikwenda tu kama ziara ya kawaida ya kimuziki, sasa kufika kule nikakutana na producer raia wa kule akanipeleka kwenye studio anayofanyia kazi inayomilikiwa na Mbongo.

kufika pale kwa kuwa wananikubali wakanipa ofa ya kurekodi nyimbo 3.”

Katika ‘Line’ nyingine, Inspector amaedai yuko mbioni kuzifanyia video ngoma hizo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging