Google PlusRSS FeedEmail

J LO APAGAWISHA MASHABIKI KATIKA TAMASHA LA HEART MUSIC FESTIVAL

                       

Mwanamuziki Jennifer Lopez J'Lo amedhihirisha kuwa bado yuko fiti..na hajazeeka ,wiki iliyopita alikuwa miongoni mwa wanamuziki warembo Duniani,Juzi alipanda jukwaani katika tamasha la Heart Radio Festival  na alifanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki..

   

Tamasha hilo lilifanyanyika katika ukumbi wa MGM Grand Arena na kuhudhuriwa na wasanii mbali mbali maarufu wa Marekani.Aidha J-LO mwenye miaka 46 hivi sasa ambaye alitumbuiza mbele ya mpenzi wake Gasper Smart,aliweka wazi kuwa atarudi tena kufanya shoo kama hiyo Januari mwakani

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging