Google PlusRSS FeedEmail

JADEN SMITH & SARAH SNYDER KATIKA PENZI ZITO

   

Imegundulika kuwa Jaden Smith haoni wala hasikii kwa mpenzi wake mpya Sarah Snyder ambapo hivi karibuni,walionekana wakiwa pamoja katika moja ya mtoko wao wa usiku.

Kijana huyo ambaye ni mtoto wa msanii Willy Smith,alishindwa kujizuia na kuamua kukaa na mrembo huyo karibu ili kudhihirisha kuwa amekolezwa na penzi la binti huyo..

Chanzo cha karibu na Jaden ambaye anafuata nyayo za baba yake katika uigizaji ,kinasema kuwa kijana huyo amekuwa akipenda kuwa karibu na Sarah kinachosadikiwa kuwa anampenda sana mpenzi wake huyo..Hata hivyobaaadhi ya watu wamekuwa wakizungumzia penzi la sasa Jaden & Sarah ni zaidi ya lile lilokuwa la mpenzi wake wa zamani Kylie Jenner ambaye sasa ni mpenzi wa Rapper Tayga.

   

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging