Google PlusRSS FeedEmail

JAY Z NA BEYONCE WAISHI KWA KUHAMA HAMA

Mpaka sasa familia ya rapper Sean ‘Jay z’ Carter imetumia zaidi ya miezi nane tu, kuishi katika nyumba yao iliyopo Hills Los Angels, sasa familia hii inatakiwa kubeba tena mabegi yao kuhama.

Kwa mujibu wa TMZ nyumba hiyo waliokuwa wamepanga imeuzwa, na wamepewa siku 60 tu kuihama. Hakuna cha kuhofu kwa sababu tayari Baba Blu Ivy, ametafuta madalali ili kusaka maskani yao nyingine

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging