Google PlusRSS FeedEmail

JESSICA SIMPSON ALAANI NDOA YAKE NA NICKY LACHEY

                   
Jessica Simpson amesema kuwa ndoa yake na aliyekuwa mume wake Nicky Lachey ilikuwa ya fedha.Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 35 hv sasa amesema ndoa yake ya kwanza ilikuwa,ambayo ilikuwa gumzo Nchini Marekani baada ya kuonyeshwa katika Runinga ya MTV kwenye kipindi cha Newlyweds..Jessica amedai kuwa uhusiano wake na  Nicky Lachey ulikusukumwa na fedha zake.

Akijibu swali jana akiwa katika kipindi cha Closing Bell,alisema katika makosa aliwai kufanya katika maisha yake alisema ni kufunga ndoa na Nicky Lachey..wapenzi walianza kuwa na uhusiano wa kimapenzi rasmi tang mnamo mwaka 1999..Nyota hao wakiwa wapenzi vijana mwaka 2005 walitengana na baadae Jessica aliomba talaka

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging