Google PlusRSS FeedEmail

KANYE WEST KUTOA VIATU VIPYWA KUCHANGIA MATIBABU YA FIGO

Matt Neal ni kijana mwenye umri wa miaka 26, akitokea Ann Arbor, Michigan huko Marekani aliwahi kutangaza kuuza viatu vyake aina ya Yeezy 350 ambavyo ni mali kutoka kampuni ya utengenezaji wa viatu inayomilikiwa na Mwanamuziki Kanye West.

Kijana huyu alihangaika sana kutafuta matibabu bila mafanikio kutafuta matibabu ya ugonjwa wake wa figo na kujikuta akiishiwa fedha kabisa hivyo akaamua kuanza kuuza vitu vyake vya thamani, mavazi na viatu.

Sasa baada ya Kanye kupata habari hizo za mteja wake kuuza viatu ameamua kumlipia pair nyingine ya viatu kwa kijana huyo.

Kanye ambaye ametangaza kwamba huenda akagombea urais wa nchi ya Marekani mwaka 2020, amesema atampa kijana huyo viatu vingine vipya kwa ajili ya kufidia hivyo anavyotaka kuviuza kupata matibu ya matibabu ya figo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging