Google PlusRSS FeedEmail

LIONEL RICHIE AJIRUSHA NA DOGO DOGO

                             
Mwanamuziki mkongwe Lionel Richie ameonekana akiwa na mpenzi wake mpya,anayejulikana kama lisa Parigi..

Nyota huyo alionekana mwishoni mwa wiki akiwa katika mtoko wa usiku na mrembo huyo.Lionel Richie ambaye kwa sasa na umri wa miaka 66,ambaye pia ni mshindi wa tunzo ya Grammy,wakati akipoke tuzo hiyo alisema amekuwa akiishi maisha ya wasiwasi akiwa na watoto wake watatu Nicole Richie ,  Miles Richie 21 na Sofie Richie 17 ,amesema kuishi peke yake kumemfanya kukosolewa na watoto wake na kumfanya wakati mwingine kushindwa kujiamini..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging