Google PlusRSS FeedEmail

MERCY JOHNSON KUBADILIKA KIMTAZAMO

            
Mwigizaji Mercy Johson ametoboa siri kwamba ana mpango wa kukusudia kufanya mabadiliko makubwa katika maisha yake kwa ujumla

Amesemaoja kati ya jambo ambalo amepanga kufanya hivyo ili aweze kujiongezea kipato.Alisema moja kati ya jambo ambalo amepanga ni kutaka kukutana na wasanii wenzake ili kutengeneza filamu ambazo ambazo zitawaongezea kipato

Nataka kukutana na baadhi ya wasanii wenzangu ili kujenga uwezo wa kufanya kazi kwa lengo la kuboresha maisha kwa ujumla

Hata hivyo Mercy amesema kazi hiyo anataka kuifanya katika kipindi hiki kabla ya kuanza mwaka ujao ili lengo lake liweze kutimia

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging