Google PlusRSS FeedEmail

NEYO NA CRYSTAL WATARAJIA MTOTO

Baada ya uvumi wa muda mrefu kwamba mwanamuziki wa R&B Ne-yo kwamba amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Crystal Renay ..Ne-yo amekiri kuwa ni kweli kwamba mpenzi wake ni mjamzito na watarajia kupata mtoto.

Kuhusu swala la kufunga ndoa ameweka bayana kuwa wawili hao wanatarajia kufunga ndoa mwakani...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging