Google PlusRSS FeedEmail

RAPPER ATOA USHAURI KWA WATUMIAJI WA MITANDAORapper wa Marekani mwenye Hits za kutosha The game, ametoa ushauri kwa rappers wenzie na fans kwa ujumla juu ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii.

The game anayejulikana kwa kujibizana na mashabiki wake mara kwa mara mitandaoni, amedai binafsi yeye haruhusu mitandao kumuendesha bali huwa akiiendesha yeye.

“Mitandao ya kijamii ukiitumia vizuri unafanikiwa, ukiamua ikuendeshe basi utakuwa ukigombana na kila mtu, mimi huwa naitumia kama ‘platform’ ya muziki wangu” alisema The game.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging