Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA SINA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA TRAVIS SCOTT

                    
Mwanamuziki Rihanna amesema kwamba hajawai kufanya ngono na Travis Scott hata siku moja.Mrembo huyo ametoa ufafanuzi huo baada ya kuwepo habari kwamba ,amekuwa ana uhusiano wa kimapenzi na Scott.

Alisikika akisema kamwe ''Hajawai kufanya mazungumzo na mwanaume huyo kuhusu uhusiano wa kimapenzi wala kwenda sehemu yoyote ya faragha na mwanaume huyo,habari hizo hazina ukweli hata kidogo.

Aliongeza kwa kusema kuwa watu hao wanaoeneza maneno hayo hawana kazi za kufanya,kauli hiyi imekuja baada ya wawili hao kuonekana wakiwa pamoja mjini New Yok katika matamasha mbali mbali ingawa kila mmoja amekuwa akikanusha kuwepo kwa jambo hilo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging