Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA YUPO TEYARI KUMPIGIA KURA KANYE WEST


Inawezekana ilikuwa ni maneno ya kiutani au kutafuta kick kwa ajili ya biashara zake wakati Kanye akitoa speech yake kwenye kilele cha tuzo za MTV na kusema kwamba atagombea urais wa marekani 2020 lakini ujumbe umeshafika kwa wadau wa siasa na raia wa nchi hiyo.

Rihanna alipohojiwa kuhusu speech ya Kanye na vi[pi kama Kanye akigombea kweli urais atampigia kura awe rais wake?

“Kama watu wanampigia kura Donald Trump kwa nini wasimpigie Kanye?, nitapiga kura na nimeikubali speech yake”, alijibu Rihanna.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging