Google PlusRSS FeedEmail

SHAMSA FORD ATAKA KUZAA NA NEY WA MITEGO

                      
Msanii wa filamu Shamsa Ford,amedai kuwa yuko tayari kubeba ujauzito wa mpenzi wake wa sasa Emmanuel Elibariki Ney wa mitego,aliyasema hayo hivi karibuni ..sanjari na hayo ameongeza kuwa penzi lao limezidi kuchanua na kudai kuwa waliachana ila mara waliporudiana penzi lao limekuwa jipya kabisaa tilikwaruzana kidogo ila tumeyamaliza .

Ney wa mitego ni baba wa watoto watu,ambapo kila mtoto ana mama yake huku Shamsa akiwa ni mama wa mtoto mmoja

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging