Google PlusRSS FeedEmail

SONGA, PTHEMC WAPOKEA TUZORappers wakali kwenye ‘kiwanda’ cha Hip Hop Bongo Songa na P the MC, wamepokea tuzo kutoka kwenye mtandao wa Kustream muziki wa Mdundo.com.

P the MC amepokea tuzo ya shaba kwa kuwa ngoma yake imepakuliwa mara elfu 50, Wakati Songa amepokea tuzo ya Silver kwa ngoma zake kupakuliwa mara Laki moja mtandaoni humo.

Wakongwe wa muziki wapongeza kitendo hiki cha Mdundo, kwani kinaleta motisha kwa wanahiphop kufanya kazi bora kila kukicha.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging