Google PlusRSS FeedEmail

UGONJWA WA EBOLA WA MGUSA DANNY GLOVER


Mcheza filamu Danny Glover yuko Nigeria kwa ajili ya kutengeneza filamu yake mpya
Taarifa zinasema kwamba mwigizaji huyo Danny Glover tayari yuko Nigeria tangu September 08 2015 kwa ajili ya maandalizi ya filamu yake hiyo...Filamu hiyo ambayo itakuwa inahusu tatizo la ugonjwa wa Ebola, Filamu hiyo inajulikana kama ’93 Days’ ambayo ndani yake kutakuwa na story inayowahusu watu waliojitolea kupambana na Ebola.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging