Google PlusRSS FeedEmail

'VIVA ROMA' YAINGIA KITANZI CHA BASATABaraza la sanaa Tanzania BASATA, limeifungia rasmi ngoma ya Roma Mkatoliki iitwayo ‘Viva Roma’ kwa sababu hakuna ushahidi wa alichokiimba.

Taarifa ya BASATA imesema mbali na wimbo huo, pia wamezifungia nyingine zenye mahadhi kama hayo.

Ikumbukwe wiki kadhaa zilizopita, Roma aliandika Instagram kuhusu kutishiwa kufungiwa kwa ‘mkwaju’ huo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging