Google PlusRSS FeedEmail

WAJE KUSAIDIA WENYE MATATIZO

          
Mwanamuziki wa kike kutoka Nigeria Waje amesema kwamba ana mawazo ya kuwa mwanamuziki mwenye kusaidia jamii kama wale wa Ulaya.Waje akizungumza na gazeti moja la Nchini Nigeria kuwa amepanga kufanya hivyo ili kusaidia watu wenye matatizo

''Nimepanga kuwasaidia watu wenye matatizo ili niwe mfano wa wasanii wengine wenye uwezo kama wanavyofanya wale wa ulaya

Hata hivyo waje amekiri kwamba lengo lake kubwa ni kuhakikisha anatoa msaada wake kwa watu ili kufanikisha mpango wake si kwa watu wa nchi hiyo tu na bara la Africa kwa Ujumla..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging