Google PlusRSS FeedEmail

''WAZAZI MUZIKI NI KAZI KAMA KAZI ZINGINE ''QUEEN DARLING

                    
Mwanamuziki Queen Darleen,ambaye pia ni dada wa mwanamuziki Diamond,ambao baba ni mmoja ila kila mmoja ana mama yake.amekiri kuwa mziki umemkosesha mume,kutokana na familia za wanaume hao kudai kuwa yeye ni muhuni..

Amesema sasa hivi amepata afueni kidogo baada ya baadhi ya wazazi kuwa na uuelewa kuwa mziki zi kazi kama kazi nyingine,.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging