Google PlusRSS FeedEmail

WOLPER AVALISHWA PETE YA UCHUMBAActress grade one Bongo Jacqueline Wolper, ametangaza kuvishwa pete ya uchumba jana jioni.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wolper ameshare picha kadhaa na kuandika maneno yenye kuelezea furaha yake na hatua hiyo kubwa kwenye maisha yake.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging