Google PlusRSS FeedEmail

YVONNE NELSON ''AHOFIA BOKO HARAM''

    
Mwigizaji Yvonnne Nelson amekiri kwamba hivi sasa ana wakati mgumu kuangalia mwenendo wake kufuatia kuwepo kwa kundi la Boko Haram

Yvonnne Nelson amesema hayo hayo jana wakati wakizungumza na kituo cha radio ya taifa mjini Lagos.
alisikika akisema amekuwa akihofia maisha yake

alisema vitendo vibaya ambavyo vinafanywa na kundi hilo vimemfanya abadili programu zake za kazi ili kujilinda ''ukweli hawa Boko Haram ni watu  wabaya sana tena inabidi wafanyiwe kazi ili kutokomeza kabisa kundi hilo..

Ameongeza kuwa anakusudia kutenegeneza filamu ambayo  itaweza kupeleka ujumbe kwa watu kuhusu ubaya wa kundi hilo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging