Google PlusRSS FeedEmail

COKE STUDIO YAZIDI KUMWAGA RAHA

Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki, wa Nje ya nchi limeanza kurushwa nchini kila Jumamosi kupitia Luninga  


Ikiwajumuisha wanamuziki mahiri Ally Kiba,Vanessa Mdee,Ben Pol na Fid Q
ambao wanashirikiana na wanamuziki kama Wangechi,Maurice Kirya,Victoria Kimani na
2Face.Baada ya uzinduzi huo zilifanyika party za kufa mtu katika viwanja vya maraha katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Mbeya na Arusha zilizowajumuisha vijana kucheza muziki,kuimba na kujishindia zawadi mbalimbali za Coca Cola

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging