Google PlusRSS FeedEmail

DIAMOND PLATNUMZ , VANESSA MDEE, PAMOJA NA OMMY DIMPOZ WANG'ARA TUZO ZA AFRIMMA 2015



MUZIKI wa kizazi kipya nchini kwa mara nyingine tena, unaendelea kusonga mbele kutokana na juhudi za baadhi ya wasanii kuweka juhudi na nguvu nyingi kuhakikisha muziki huo unavuka mipaka ya Tanzania.

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnmuz, Vanessa pamoja na Omm Dimpozi hawa ni miongoni mwa wasanii walioshinda Tuzo za AFRIMMA 2015 ndani ya DAllas Texas Marekani.

Mastaa hao wameng’ara zaidi safari hii, yuko Ommy Dimpoz na Tuzo moja, Vee Money na Tuzo moja pamoja na Diamond Platnumz na Tuzo tatu.

List ya Washindi wote hii hapa mtu wangu, hongera nyingi kwa watu wa nguvu walioshinda AFRIMMA 2015.

Best Male (South Africa) – AKA (South Africa)
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz (Tanzania)
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido (Nigeria)
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee aka Vee Money (Tanzania)
Best Female (West Africa) – Yemi Alade (Nigeria)
AFRIMMA Inspirational Song – ‘Alive’>> Bracket Feat. Tiwa Savage & Diamond Platnumz
Best DJ (Marekani) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz (Tanzania)
Best Collaboration – All Eyes on Me >> AKA feat. Da Les & Burna Boy
Best Dance Video – ‘Nana’>> Diamond Platnumz
Best Video – Ojuelegba >> Wizkid (Nigeria)
Artist of the Year – Diamond Platnumz (Tanzania)
Legendary Award – Yossou N’Dour (Senegal)

Transformation Awards AFRIMMA- Rais wa Botswana, Ian Khama

Best Video Director- Godfather (South Africa)

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging