Google PlusRSS FeedEmail

JA RULE NA ASHANTI WAFANYA ZIARA MOJA YA MZIKI

Hii itatukumbusha mwaka 2001 ambapo rapper Ja Rule, alifanya “tour” ya pamoja kimuziki na mkali Ashanti.

Ja Rule amekuwa akijitahidi kufanya kazi kwa bidii kipindi hiki, ili kulirudisha jina lake katika ramani nzuri kama zamani.

Zimesalia siku kadhaa kuzindua ‘reality show’ yake kupitia MTV, yupo ‘location’ akindaa muvi mpya pamoja na bifu yake na 50 Cents ambayo kidogo ina masihara.

Sasa akipiga story na Billboard, Ja rule amefungukia ziara ya pamoja ya kimuziki na Ashanti katika majimbo kadhaa, mbali na tour hiyo pia ameongeza kuwa wanaandaa filamu ya pamoja walioiita Natural Born Killers.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging