Google PlusRSS FeedEmail

KANYE WEST ATOSWA NA MADEMU WA KIZUNGU

Kanye west amesema sababu za kisiasa zilimtenga kabisa kujaribu kuwa na demu wa kizungu enzi za utoto wake japo alitamani kuwa na demu wa aina hiyo.

Kanye alifunguka historia ya maisha yake wakati akifanyiwa mahojiano na mtandao mmoja unadeal na issues za fashion huko Marekani.

Katika Mahojiano hayo yaliyochukua takribani muda saa mbili Kanye amesema enzi zake akiwa na umri wa miaka 8, alivutiwa sana na wasichana mbalimbali wenye rangi zote weupe na weusi lakini ilimpa shida sana kupata msichana wa kizungu.

“Ningetamani kupeleka demu wa kizungu home, lakini ilikuwa ni ngumu, nafikiri kulikuwa na mipaka flani iliyosababishwa na sababu za kisiasa zilizowatenga wamarekani weusi na weupe “ alieleza Kanye.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging