Google PlusRSS FeedEmail

LADY GAGA AWAANGUKIA MASHABIKI WAKE

         
Mwanamuziki Lady Gaga,amewataka mashabiki wake kutulia wakati anaingia studio  kwa ajili ya kutengeneza albamu yake mpya.

Mrembo huyo ametoa yaarifa hiyo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram juzi kwamba ameanza kutengeneza Albamu hiyo

Habari zaidi zimeeleza kwamba mrembo huyo ameanza kazi hiyo katika studio ya Red One kwa ajili ya kutayarisha nyimbo kadhaa zikiwemo Poker face,na Just Dance ambazo zitaanza kusikika mwezi ujao

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging