Google PlusRSS FeedEmail

YOUNG KILLER, APINGA KUFANANISHWA NA EDO BOYRapper kutoka kiwanda cha Hip Hop Bongo anayeiwakilisha poa Mwanza Young Killer, ameongelea tatizo lililopo kati yake na rapper mwenzie wa Mwanza Edo Boy.

Akizungumza kupitia kipindi cha ‘The jump off’ cha Times fm, Killer amedai hawezi kupoteza muda wake kumzungumzia Edo redioni itakuwa ni kama kumpa ‘Kiki’ isiyo ya msingi.

“Siwezi poteza muda wangu kumzungumzia huyo mtu, wapo watu wakujibizana nao redioni lakini si yeye.

Edo ni ‘underground’ fulani hivi mchafu tu, hajui kuchana wala si rapper yani” alisema Young Killer.

Ikumbukwe ‘wakali’ hawa wote wanatokea mtaa na mkoa mmoja, hivyo tunaamini watakaa chini na kuyamaliza matatizo yao ‘soon’.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging