tag:blogger.com,1999:blog-20348974944022429102024-03-14T08:02:41.341+03:00PRO-24PRO-24 DJS OFFICIAL BLOGAnonymoushttp://www.blogger.com/profile/07105794319814919825noreply@blogger.comBlogger5903125tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-89024860967688392952015-12-01T12:43:00.003+03:002015-12-01T12:43:53.559+03:00DIAMOND PLATNUMZ AKIWA NA MTOTO WAKE

Unknownnoreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-12647514449888409072015-11-30T10:20:00.000+03:002015-12-01T12:35:29.449+03:00 MAENDELEO YA FILAMU TANZANIA

WAKATI msemo wa Hapa kazi ukiwa ndio habari ya mjini na sisi tunasema “ FILAMU KAZI” jukwaa la Wanaharakati wa maendeleo ya filamu Tanzania limeundwa na linaendelea kufanya vema kuelekea kutafuta suruhu au dawa ya soko la filamu kwa kuangazia matatizo au changamoto zinazo ikabili tasnia hiyo yenye uwezo wa kuajiri watu wengi pengine kuliko sekta yoyote

Katibu wa JWMFT Bicco Mathew amsema kuwa wadau walikutana katika Hoteli ya Valentino iliyopo Kariakoo kuitikia wito wa Ndg. Myovela Mfwaisa juu ya kuhudhuria kwenye mjadala wa juu ya namna gani tutaisaidia tasnia ya Filamu nchini kupata soko nje ya mipaka ya Tanzania, kuleta hamasa kubwa kwa wadau waliohudhuria katika kikao hicho huku kila mdau akichangia kwa umakini zaidi.

“Hapa mimi naongea kama mwanaharakati pia nitafafanua baadhi ya mambo ambayo inaoneka kama TAFF imeshindwa kufanya lakini ukweli ni kwamba siku zote tunapigania kupata sera ya filamu,”

“Ni kweli kimaandishi Serikali imerasimisha filamu lakini Wizara husika imeshindwa kuonyesha dira ili tasnia ya filamu iweze kupata sera ambayo ndio kitu muhimu sana kwa sasa,”alisema Bicco.

Wajumbe John Kallaghe, Gallus Mpepo walishauri kuwa kuna haja ya wasanii kuhudhuria semina pamoja shule za muda mfupi ili kukabilia na ushindani wa filamu za kimataifa kama legho likiwa kufika katika soko la kimataifa.

Aidha mwigizaji wa siku nyingi Bakary Masasi alisema kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinadumaza wasanii kwa kuwakatisha tama kuwa baada ya kifo cha marehemu Steven Kanumba filamu imeshuka kitu ambacho anasema si kweli bali ubunifu umepotea.

Unknownnoreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-36612489586600753692015-11-29T10:23:00.002+03:002015-11-29T10:23:46.179+03:00ALBAMU YA ADELE KUWEKA HISTORIA MPYA UK

Albamu ya mwanamuziki Adele huenda ikaweka historia nchini Uingereza kwa kuwa albamu iliouza zaidi ,ikiwa tayari imeuza zaidi ya kopi nusu milioni katika kipindi cha siku tatu pekee.

Jumla ya mauzo ya 25 ni kopi 538,000 kufikia sasa ,huku zikiwa zimesalia siku nne za chati hiyo.Ni Albamu mbili pekee zilizouza zaidi ya kopi 500,000 katika juma moja.

Take that Progress iliuza kopi 519,000 katika wiki ya uzinduzi wake mnamo mwaka 2010 na Oasis Be here Now ambayo inashikilia rekodi hiyo ikiuza kopi 696,000 katika wiki yake ya kwanza mwaka 1997.

Wakati huohuo nchini Marekani,Adele amevunja rekodi ya kuuza kopi milion 2.3 za albamu hiyo kufikia sasa.

Mauzo ya takwimu hizo yanathibitisha kwamba huenda rekodi inayoshikiliwa na bendi ya Nsync iliotowa albamu yake mwaka 2000 'No Strings Attached' iliouza kopi milioni 2.4 katika wiki yake ya kwanza ya uzinduzi ikavunjwa.

Adele alicheza single yake Hello siku ya jumamosi.Mziki huo pekee umeuza kopi milioni 2.5 katika kipindi cha wiki nne pekee.

Unknownnoreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-15795953589789153292015-11-29T01:30:00.000+03:002015-11-29T01:30:00.598+03:00FACEBOOK KUANDAA UTARATIBU WA KUTOONA TAARIFA ZA X WAKO

Kuna habari njema,mtandao wa facebook umetangaza kuwa unatafuta mbinu mpya ya kupunguza machungu unayopata wakati unapokutana na mpenzi wa zamani ambaye muliwachana baada ya ugomvi.

Kwa sasa,iwapo hutaki kukumbushwa kuhusu mpenzi huyo wa zamani una uwezo wa kumuondoa kama rafiki ama hata kumzuia asiweze kukuona katika mtandao wa facebook.

Tatizo ni kwamba watajua kwamba umechukua hatua kama hiyo ambayo sio nzuri sana.

Mahusiano katika mtandao wa facebook ni swala muhimu sana,kama alivyosema jaji mmoja kutoka mjini New York, kwamba unaweza kutuma wito wa talaka katika mtandao huo na uwe halali.

Lakini kifaa kipya cha mtandao wa facebook kinalenga kubadilisha kile ambacho mpenzi wako wa zamani anaweza kuona,bila kujua kwamba kuna kitu umefanya..

Kipengele hicho kinaruhusu:

*Kutoliona mara kwa mara jina la mpenzi wa zamani pamoja na picha yake bila kuiondoa ama kumzuia kukuona.

*Weka usimamizi wa ni nani anayeweza kuona picha zako na mpezi wako wa zamani na uziondoe katika machapisho yenu pamoja.

*Wakati facebook ilipozinduliwa katika taasisi na vyuo vikuu,lengo lake lilikuwa machapisho ya mahusiano.Ni hatua ya kidijitali ambayo ilisaidia mda wa wengi.

Lakini hivi majuzi,watu wamekuwa wakichukua tahadhari wanapotangaza uhusiano wao katika facebook.

Watu walikuwa wakitumia neno ”its complicated” kwa uhusiano ambao unaelekea kugonga mwamba na badala yake watu wanatumia maneno ya kidunia kama vile ‘kuchumbiwa’ ama hata ‘kupata mtoto’.

Hatahivyo kifaa hicho kipya kitaanza kutumika hivi karibuni,imesema facebook.

Mpango huo ni mongoni mwa juhudi zinazoendelea kuendeleza raslimali za watu wanaokabiliwa na wakati mgumu katika maisha yao,aliandika Kelly Winters meneja msimamizi wa bidhaa za facebook.

”Tunaamini kifaa hicho kitawasaidia watu kumaliza uhusiano wao katika facebook kwa urahisi na udhibiti.Iwapo unatumia simu ya mkononi nchini Marekani unaweza kukitumia kifaa hicho mara moja kwa kuvunja uhusiano na mpenzi wako”.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-8718008663055364282015-11-28T01:00:00.000+03:002015-11-28T01:00:00.161+03:00LIL WAYNE KUSHTAKIWA TENA

Kwa mara ya 3 kwa mwaka huu rapper mmiliki wa Young Money Lil Wayne, anakumbana tena na mkono wa sheria kujibu mashtaka yanayomkabili.

Sahau kuuhusu mashtaka ya Private Jet na kutolipa ‘bills’, safari hii bosi huyu anashitakiwa na ‘modo’ wa kike aitwae Shanise Taylor kwa kutumia picha yake katika moja ya tisheti zake kinyume na makubaliano.

Kwa mujibu wa TMZ Shanise amesema alipiga picha hiyo mwaka 2011 na kampuni ya mavazi ya Trukfit, ila hakusaini makubaliano kuwa picha yake itumike katika tisheti ambayo amemuona nayo Wayne.

Dada huyo anaishutumu pia kampuni hiyo kwa ‘kuedit’ picha yake, na kumuonesha kana kwamba ‘amesaula’ nguo zote hata ‘nguo ya ndani’ hana.

Anasema amedhalilishwa kwa hiyo anataka nguo hizo ziondolewe sokoni, lakini pia alipwe mkwanja utakao mpooza machungu yake.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-25018929908288284462015-11-28T00:00:00.000+03:002015-11-27T15:04:55.016+03:00QUICK ROCKA AITAKA SERIKALI KUWEKA MKAZO JUU YA UKUAJI WA SANAA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini,Quick Rocka ameitaka serikali kuelewa na kuweka mkazo zaidi kuendelea sanaa ya Tanzania na kuifanya kuwa sehemu ya mapato ya nchi.

”Muziki au sanaa kwa ujumla ni kitu ambacho serikali ikiwekea mkazo kwamba tunafanya kazi kuna kulipa kodi,itaingiza pato kubwa na kukuza uchumi wa nchi kama ikichukuliwa kama kazi vijana wengi wamejiajiri kupitia sanaa za maigizo,muziki,uchongaji na uchoraji,ni vitu ambavyo watu wanapenda kufanya”,alisema Quick Rocka.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-60234814797704878542015-11-27T14:24:00.003+03:002015-11-27T14:24:49.017+03:00'VAILETY' YAMUINGIZIA MATONYA MILIONI 150

Mkali wa muziki wa Bongo Flava Seif ‘Matonya’ shaaban, ameuelezea wimbo wake wa ‘kitambo’ Vailety kuwa ndio wimbo uliompatia pesa nyingi kwa haraka.

Akizungumza jana kupitia kipindi cha ‘The Jump off’ cha Times FM, Matonya anasema wiki kadhaa tu baada ya kuiachia ngoma hiyo, alikutana na ‘mpunga’ mkubwa kwenye akaunti yake Benki.

“Vailety aisee was crazy song kiukweli, ulikuwa wimbo mkubwa sana, nilipokea simu nyingi kutoka Marekani na kwenginepo, yani ulipagawisha watu kiukweli.

Sasa sikuwahi kushika hela nyingi yani, pesa zangu nyingi zinaingia benki tu, sasa ile siku natazama akaunti naona kama milioni 150 hivi afu kwa haraka tu yani” alisema Matonya.

Katika ‘line’ nyingine, Tonya Time alikiri kuwa ‘mkwaju’ huo ulimpatia maadui wengi sana.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-90646113191581428652015-11-27T14:15:00.001+03:002015-11-27T14:15:31.336+03:00RICH MAVOKO KUGEUKIA SOKA?????

MSANII wa muziki wa Bongo Flava Richard Mavoko, amesema kama asingekuwa mwanamuziki basi angekuwa mchezaji mpira mkali sana.

Akizungumza kupitia kipindi cha ‘Hatua Tatu’,Timesfm, wakati akitambulisha ‘ngoma’ yake mpya ‘Ninaimani’ Rich anasema aliwahi kupelekwa mpaka shule ya ‘Vipaji’ Makongo kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kusakata ‘kabumbu’.

“Unajua mi nilifaulu second selection, kwa hiyo wakati nipo nyumbani Mkuu wa shule kipindi hicho mzee Kipingu akanipeleka pale Makongo kwa kuwa nilikuwa najua sana kucheza mpira.

So matokeo yalivyotoka yapili yale, ikabidi nichukuliwe pale nipelekwe shule niliyofaulia Mnazi mmoja” alisema Mavoko.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-24622853106411600752015-11-27T13:48:00.001+03:002015-11-27T13:48:14.948+03:00JOHN MAKINI KUJIGHARAMIA KIMATAIFA

MwanaHipHop maarufu nchini ‘Joh Makini” ambaye amekuwa gumzo baada ya kuachia video yake ya don’t bother,amesema analazimika kutumia gharama kubwa katika video zake anazofanya,ili azidi kujitangaza kwenye soko la muziki kimataifa.

Joh Makini alisema kwa sasa ameshafika hatua ya kimataifa,hivyo ni lazima afanye video zenye hadhi ya kimataifa.

Kwa hatua ambazo naenda natakiwa kulipa fedha kubwa katika video,gharama ya don’t bother ni zaidi ya Tsh milioni 20.7,hapo hauja ongezea manunuzi ya mavazi na vingine.

Joh amesema video hiyo imemfanya kuvunja rekodi ya video zote alizofanya na kuzidi kumtengenezea njia nzuri.

Pamoja na hayo,Joh Makini ameizungumzia kolabo yake na Davido ambayo inatarajiwa kutoka siku za hivi karibuni.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-57867443904324407582015-11-27T00:00:00.000+03:002015-11-27T00:00:01.908+03:00BEN POL: "COKE STUDIO NI HATUA KUBWA KWANGU KIMUZIKI"

Msanii wa muziki wa kizazi kpya nchini,Benald Paul ‘Ben Pol’ amesema ushiriki wake katika onesho la Coke Studio ni moja ya mafanikio katika safari yake ya muziki.

Kauli hiyo aliitoa wiki hii kuhusu ushiriki wake kwenye onesho hilo linaloendeshwa na kampuni ya CocaCOla kwa kushirikisha wanamuziki wa Tanzania na nje ya nchi ambao wamekuwa wakifanya onesho la kuvutia.

alisema anajivunia ushiriki wake katika maonesho hayo na amefanikiwa kujifunza mengi kuhusu fani ya muziki.

Alisema anajisikia fahari kufanya kolabo kwa kushirikiana na wanamuziki wengi kutoka Kenya katika msimu huu wa Coke studio ambapo kwa hapa nchini onesho hilo linarushwa kila Jumamosi.

Ben Pol alisema onesho ka Coke Studio linahamasisha vijana kujiamini na kuonesha vipaji vyao na aliwataka vijana wenzake kujiamini na kutokata taaa iwapo wataka kutimiza ndoto zao na kufanikiwa katika maisha.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-48970131671368176372015-11-26T14:36:00.001+03:002015-11-26T14:36:55.556+03:00WOLPER AMRUDIA MUNGU

MSANII wa filamu nchini Jacqueline Wolper, amewataka wasanii wenzake kumrudia mungu na kufanya yale yaliyomema katika jamii, ambapo yeye amedai kuwa baada ya kufanya mengi ya kumchukuza mungu sasa ameamua kumrudia mungu wake.

Wolper alisema baada ya kufanya mambo mengi maovu ameamua kumrudia Mungu,hata kwa kusoma vitabu vyake vitakatifu kwani baadhi ya mastaa wamekuwa na kasumba ya kumsahau Mungu na kufuata ya Dunia.

Wolper alisema mara nyingi mastaa hujisahau kwa kuendekeza anasa nyingi za duniani na kumkosea Mungu na ni bora kutenga muda hara kwa saa mbili kwa siku kusoma neno la Mungu.

Aliongeza baada ya kutambua hilo,ameamua kubadilisha mfumo wa maisha yake na kutoruhusu kutawaliwa na mambo ya kiulimwengu na kumrudia Mungu wakiwa na shida.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-17620131334177145862015-11-26T14:19:00.002+03:002015-11-26T14:19:28.595+03:00RIHANNA , YOUNG THUG KUTOKA NA 'MKWAJU' MOJA

Star wa kike wa muziki Duniani Rihanna na Star wa Hip hop Young Thug, wameingia studio pamoja ili kuulasimisha ‘mkwaju’ wa pamoja.

Rihanna ambaye anatarajia kuachia album yake ijumaa hii, bila shaka ngoma hii haiwezi kujumuishwa kwenye album hiyo kwa kuwa tayari ni ‘too late’.

Pengine wimbo huo utajumuishwa kwenye project inayofuata ya Young Thug, au itatoka kama pini la kujitegemea.

Mmoja kati ya watu walio kwenye uongozi wa rapper huyo, alivujisha picha ya wawili hao wakiwa studio na kuipa ‘Caption’ ya ‘Thug na Riri in the studio, kitu kikubwa kinakuja’.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-74102787068363106492015-11-26T12:08:00.003+03:002015-11-26T12:08:25.324+03:00ALBUMU YA ADELLE YAINGIA PLATINUM IKIWA NA SIKU 3 SOKONI

Ngoma yake ya ‘hello’ ndiyo ngoma yake iliyofanya vizuri zaidi kipindi hiki.Hali iliyopelekea Albamu ya Adelle kuingia 'Platinum' ikiwa na siku 3 tu sokoni

Sasa wakati akisheherekea mafanikio hayo, muimbaji huyo wa kike album yake 25 imekwenda Double Platinum kwa kuuza zaidi ya nakala milioni 2.3 tangu itoke Tarehe 20 mwezi huu wa 11.

Hii inakuwa Album ya pili kuuza nakala zaidi ya milioni 2 ndani ya wiki, tangu mwaka 1991 kupitia Nielsen Music.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-52948194211122363612015-11-26T12:04:00.003+03:002015-11-26T12:04:50.107+03:00UNAMKUMBUKA KWA LIPI SHARO? IKIWA NI KUMBUKUMBU YA MIAKA 3 YA KIFO CHAKE

Imetimia miaka 3 tangu mpendwa wetu kwenye sanaa Bongo, Hussein ‘Sharo’ Mkiety afariki dunia tarehe kama ya leo mwaka 2012 katika ajali ya gari mkoani Tangu.

Tayari Marehemu Sharo Milionea alishapata hazina ndefu ya mashabiki ndani na nje ya nchi.

Hizi ni video za ‘nyimbo’ zake tatu ambazo zilifanya vizuri zaidi.

1.Chuki Bure akiwa na Dully Sykes.
Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-68770479020814799312015-11-25T15:51:00.003+03:002015-11-25T15:51:45.711+03:00LINEX NA GARI YA MKUU WA WILAYA

MSANII wa muziki wa Bongo Flava Sunday ‘Linex’ Mjeda, ameamua kuelezea mkasa uliomkuta baada ya ‘kuikwangua’ gari ya mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda wiki tatu zilizopita.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook,Linex ameelezea Ikhsani aliyofanyiwa na Makonda licha ya kumfanyia makosa. Usome ujumbe wake hapo chini then tuachie maoni yako.

“Katika mizunguko ya hapa na pale Kama week mbili tatu zilizo pita majira ya saa 9:00 usiku kwa bahati mbaya nilipiga pasi gari la mtu nikashuka kwa lengo LA kufanya makubaliano nae mala nikashangaa ameshuka mh @paulmakonda kwa kua sijawahi kukaa nae kokote wala kufahamiana nae nikajua Leo yamenifika lakini cha kushangaza aliposhuka Aliangalia wapi pamekwaruzika then akaniambia ni bahati mbaya wakati mi nilijua atatumia nguvu au nafasi aliyo nayo serikalini kweli usiamini unachosikia au kuona hata chumvi saa nyingine hua Ina fanana na sukari, "The VOA' ameandika Linex.

Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-28673088019969857672015-11-25T08:35:00.002+03:002015-11-25T08:36:16.586+03:00NAY WA MITEGO ACHANGANYWA NA MAPENZI MAPYA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Nay Wa Mitego ameamua kuyaweka wazi mapenzi yake mapya katiyake na mwanamke mrembo mtanzania anayeishi nchini Marekani anayejulikana kwa jina la Chaggaempress.

Ambapo Nay kupitia akaunti yake ya Istagram, ameweza kutuma picha tofauti zinazomuonesha mwanamke huyo, na kuonesha hisia zake za mapenzi juu yake.

" Ukiuza Alteza make sure unanunua BMW au PRADO, usije uza Alteza ukanunua Colora" aliandika Msanii huyo katika ukurasa wake wa Istagram, ingawa maneno hayo yalipokelewa tofauti na baadhi ya mashabiki wake juu ya mahusiano mapya.

Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-20588895612392345942015-11-25T08:02:00.000+03:002015-11-25T08:02:05.012+03:00MISS TANZANIA KUCHUANA NA WAREMBO 100 MISS WORLD

JOTO la kumtafuta mrembo wa dunia limepamba moto, ambapo baadhi ya warembo kutoka nchi mbalimbali wamewasili nchini China kwa ajili ya maandalizi ya shindano hilo huku kila mmoja akijinadi kunyakua taji hilo.

Miss Tanzania Lilian Deus ndiye mrembo anayepeperusha bendera ya Tanzania katika shindano hilo, ambapo ameshatua nchini humo kuungana na warembo wengine tayari kwa maandalizi ya fainali za Miss World 2015.

Miss Tanzania atachuana na warembo zaidi ya 100 kutoka nchi mbalimbali wanaoshiriki fainali hiyo ya mrembo wa Dunia, ambapo warembo hao wanatarajia kukaa kambini kwa muda usiopungua wiki nne.Lilian aliondoka Tanzania Novemba 19 mwaka huu.

Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-81696976231248356972015-11-24T16:37:00.001+03:002015-11-24T16:37:36.594+03:00WOLPR ATUMA UJUMBE MZITO KUPITIA INSTAGRAM

“Nasikia mjini kuna nyakunyaku sasa jamani mtu mzima unanyakuliwaje? me nasema ukininyakulia nikakuachia labda kma simpendi lkn kma nimempenda anyakuliwi mtu ubabisha jarbu shuwainiiii ….

Na nyie wadada wamjini acheni habari zakuibiana mabwana na kutangazana insta kma umeshindwa kumuifadh bwanaako vzuri akanyakuliwa basi tulia tulii… tafuta mnyonge nawe umnyakulie syo maneno kila sku tukitagiwa kwenye umbea ukisoma ni mambo ya nyaku nyaku sasa we ulinyakuliwa ulikua wapi?”

Kama wewe ni mmoja kati ya Followers wa Actress Jacqueline Wolper kwenye Instagram utakuwa umeshakutana na haya maneno tayari, picha na clip fupi za video zikimuonesha mrembo huyu akijienjoy na wa ‘Ubani’ wake.

Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-44658150790161015852015-11-24T16:27:00.001+03:002015-11-24T16:27:23.091+03:00SOLO THANG AMJIBU NIKKI WA PILI

Ni siku chache tu zimepita tangu msanii kutoka Weusi kampuni Nikki wa pili kutaja list ya best mc’of all times ambapo katika list hiyo alimtaja,Mr II sugu,Prof Jay,Mwana FA,AY,Joh Makin,Fid Q,Lord Eyez,Arbet Mangweir,Jay mo na yeye mwenyewe Nikki wa pili

List hiyo ambayo imeonekana kugusa watu wengi hasa wapenda muziki wa hiphop,licha ya team tizneez kuzungumza na wasanii wengi wa hiphop na kuonekana kukataa kujibu chochote juu ya list hiyo,lakini kwa msanii Solo Thang yeye imekuwa tofauti maana alitoa mtazamo wake kapitia mtandao wa twitter ambapo alisema”hiyo siyo list ya kwanza kuiona Nikki mbishi pia alifanya yake pia sioni faida ya kufanya yangu.Mc’s wengi kwenye list zao wepesi.It just a matter of opinion katumia fursa yake,kosa ni nyie kumchukulia seriouz kama ni fact au statement kuhusu mziki wa hiphop.Na hiyo list ni opinon yake #Nick wa pili not a statement yaa bongo hiphop kuna zaidi ya nusu akiwemo na yeye mwenyewe hastahili kuwepo.”alisema

Pia katika tamasha la Graffiti event lilifanyaika hivi karibu maeneo ya mikocheni nafasi arts ambalo liliudhuriwa na mc’s wengi wa hip hop mmoja kati mc wa hiphop ambaye hakutaka jina lake liandikwe alisema”dogo amefanya kupata kick so amepata maana amepata interview nyingi.Lakini sidhani kama anajua maana Mc’s kwenye hip hop,tuachie hapo Batro tuzungumze vitu vingine ila kujiweka yeye ni bora hata angekuwa One incredible amefanya watoto wengi tu wa rap nenda kwenye matamasha ya hiphop uliza vijana watakwambia ila tuyaache tufanye yaliyotuleta hapa kwenye Graffiti event.Alisema.

SOURCE: TIZNEEZ Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-66020638112071729582015-11-24T09:52:00.000+03:002015-11-24T09:52:09.080+03:00RIHANNA KUDONDOSHA ALBAMU MPYA NOV 27

Taarifa zisizo rasmi zinasema kuwa album mpya ya Rihanna ‘‘Anti World Tour’ inatarajiwa kutoka Ijumaa hii Novemba 27 mwaka huu..

Album hiyo ya nane itatoka exclusively kupitia mtandao wa Jay Z, Tidal mpaka Dec 4 ndio itaanza kupatikana kwenye platform tofauti tofauti ..

Unknownnoreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-62658268064883141622015-11-24T09:33:00.001+03:002015-11-24T09:33:45.003+03:00VIJANA WAUNGANA KWENDA PARIS

Vijana na watoto kutoka Marekani na Indonesia wanajiandaa kwenda Paris, nchini Ufaransa, kuhudhuria kongamano la kimataifa kuhusu tabianchi kati ya Novemba 30 na Disemba 11 mwaka huu, baada ya kushinda shindano la vijana la muziki kuhusu changamoto za dunia.

Shindano hilo la video kwenye mtandao wa intaneti, liliandaliwa na asasi ya kiraia ya Muungano wa Kimataifa wa Kuendeleza Mbinu Bunifu (IAAI), kwa kushirikiana na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, Sekritariati ya Mkakati wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi, UNFCC na wadau wengine, na washindi walipatikana Novemba 6, 2015, kupitia kura kwenye mtandao wa intaneti na uamuzi wa majaji kutoka mashirika husika.

Vijana hao watapokea tuzo zao kwenye sherehe maalum jijini Paris, mnamo Disemba 7, 2015, kwenye jukwaa la UNESCO.
Katika Makala hii, Joshua Mmali anatumegea kidogo vipande kutoka kwa muziki wa washindi hao.

Unknownnoreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-12119915229148487142015-11-23T10:19:00.000+03:002015-11-23T10:19:29.622+03:00HORMINIZE AELEZEA SABABU ZA KUTOONEKANA JUKWAANI

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini anayetamba na wimbo wa 'Aiyola' chini ya usimamizi wa WCB, Horminize ameelezea sababu za kutoonekana kwenye majukwaa akifanya show yoyote ile alisema kuwa alitaka kuhakikisha anakamilisha video ya wimbo wake huo unaonekana kupendwa sana na mashabiki wake.

Aiyola ni wimbo wake uliomtambulisha kwenye game ya muziki wa bongo fleva chini ya usimamizi wa WCB Wasafi iliyoko chini ya Diamond Platnumz.

Horminize ambaye kwasasa anafanya vizuri na video yake ya Aiyola aliyoifanya nchini South Africa.Hormize hakusita kuweka wazi sababu zilizomfanya kuchelewa kuonekana kwenye jukwaa.Horminize alisema

”Kuna email nyingi zimeingia za show,lakini kikubwa tulitaka tufanye kwanza video ndio niweze kufanya show,mpaka sasa kuna show nyingi kuanzia Mombasa,Nairobi,Mwanza na sehemu nyingine nyingi.Kwahiyo watu wataniona tu kwenye jukwaa hivi karibuni”.AlisemaZourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-80466102606768774772015-11-23T10:10:00.001+03:002015-11-23T10:10:55.239+03:00P THE MC NA GRAFFITI EVENT

Graffiti event ni tamasha lilifanyika jumamosi ya tarehe 21 pale Nafasi Arts Mikocheni.Tamasha hilo ambalo liliusisha sanaa ya uchoraji pamoja na muziki wa hiphop,ambapo walioudhuria walipata nafasi ya kuona mengi katika uchoraji pia katika swala zima la music wa hiphop.

HNH ni moja kati ya watu walikuwepo katika tamasha hilo,inaweza kuwa jina likawa geni katika masikio yako lakini ni moja kati ya wasanii wachache walipanda na kutoa freestyle na kupelekea kushangiliwa zaidi na mashabiki waliokuwa wameudhuria tamasha hilo.

Wasanii wengine walikokuwepo ni pamoja na Fid q,Nikki Mbishi,Mkoloni wa Wagosi wa kaya,Tifa Flow na wengine wengi.

Katika tamasha hilo la Graffiti event watu walipata nafasi ya kujifunza jinsi ya kuchora bila gharama yoyote ile,Na baadae kupata burudani kutoka kwa wakali P the mc,Zaiid na mkali Stosh.Zourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-75796459339815298852015-11-23T09:53:00.001+03:002015-11-23T09:53:03.214+03:00DULLY ASHANGAZWA NA WASANII WASIOPENDA KUANDIKIWA NYIMBO

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Dully Sykes 'Mr Misifa' ameweka wazi kuwa wimbo aliouachia juzi unaoitwa 'Tuache' ameandikiwa mashairi na kundi la muziki la Yamoto Band.

Ambapo amebainisha kuwa hiyo ni nyimbo yake ya pili kuandikiwa mashahiri ambapo nyimbo yake ya kwanza kuandikiwa ilikuwa wimbo wa Dhahabu na kijana aliyejulikana kwa jina la Jay C.

Dully ambaye ameachi kibao chake cha “tuache”alichofanya na Yamoto Band.Wimbo huo wa tuache ni wimbo ulioandikwa na vijana wa kundi la Yamoto Band.

Dully hakusita kueleza wazi juu ya kitendo cha kuandikiwa wimbo huo ambapo alisema”Watu hawajui tu huu sio wimbo wa kwanza mimi kuandikiwa ni wimbo wangu wa pili.Na kama msanii hutaki kuandikiwa ujue wewe sio manii maana hata Michael Jakson amewahi kuandikiwa.

"Dhahabu ni wimbo wangu wa kwanza kuandikiwa aliandikia Jay c zile versr zangu zote aliandika huyu jamaa.Kwahiyo huu wimbo wa tuache umeandikiwa na yamoto band me nilichofanya ni kutengeneza mdundo na kuingiza sauti basi.”alisemaZourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-2034897494402242910.post-74046283337954193662015-11-19T15:58:00.001+03:002015-11-19T15:58:28.381+03:00RAY C APOTEA BAADA YA KUJIINGIZA KATIKA MAKUNDI YASIYOFAA

Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio Clouds fm ambaye anatangaza kipindi cha mchana maarufu kama XXL,Hamis Mandi a.k.a Bdozen ambaye ni miongoni mwa watangazaji machachari wanaofanya vizuri katika vipindi vya burudani, ameweka wazi juu ya muimbaji maarufu nchini Rehema 'Ray C' kuwa alipotea baada ya kujiingiza katika makundi yasiyofaa.

Alisema kuwa Ray C alipotea baada ya kujiingiza katika makundi yasiyofaa hali iliyopelekea kukosea mfumo wake mzima wa maisha ya burudani.

Aliyasema hayo Kupitia kipindi cha mkasi ambapo alikuwa akifanyiwa mahojiano na Salama ambapo Bdozen aliulizwa kuhusu Ray kama anadhani Ray C alikosea wapi?.Bdozen alisema”Ray alikosea kuwa kwenye group ambayo hakutakiwa kuwepo,Na pia hata nikipewa nafasi ya kumshauri siwezi maana matukio yake tumeendelea kuyasikia kila siku.”AlisemaZourha Malisahttp://www.blogger.com/profile/04092274719481773179noreply@blogger.com0