MICHELLE OBAMA ATIMIZA MIAKA 49 Posted on by Zourha Malisa Bila shaka Michelle Obama,ananafasi kubwa katika historia kwa kuwa mke wa rais wa kwanza mweusi 'dunia' jana Michelle Obama ametimiza miaka 49