SHABBA RANKS ATIMIZA MIAKA 49 LEO Posted on by Zourha Malisa January 17 1964 mwanamuziki maarufu wa miondogo ya Ragga Muffin wa nchini Jamaica Shabba Ranks amezaliwa, leo nyota huyo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ametimiza miaka 49 jina lake halisi ni Rexton Gordon