THE GAME ATOKELEZEA NA STAA WA VHI
Staa wa VHI Draya na mwanamzuiki The Game wakiwa wametokelezea kwa pozi katika kava ya toleo jipya la jarida la Urban Ink Magazine. Mpenda Tatoo Draya wa "Basketball
wives LA" na The game wa "Married to the Game" wameonesha Tatoo zao ili dunia ishuhudie.Draya pia aliweka picha yake inayoonesha Tattoo alichochorwa katika 'Instagram' yake na kuandika "My ass. My logo