Google PlusRSS FeedEmail

MERCY ARUDI TENA KWENYE FILAMU



Baada ya kuwa nje ya tasnia ya filamu kwa muda mrefu muigizaji mkongwe Mercy Johnson amerudi kivingine na hivi karibuni ajipanga kuiachia filamu mpya ijulikanayo kwa jina la 'Baby Oku ina America'

Mercy amekuwa nje ya tasnia ya filamu kwa sababu za kwenda kujifungua mtoto wake wa kwanza nchini Uingereza Desemba 2012 ambapo mtoto wake amepewa jina la Purity

Filamu hiyo imechezwa nchini Nigeria na Marekani ili kuonyesha uwiano wa nchi hiyo na nchi nyingine

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging