Google PlusRSS FeedEmail

SNOOP ATOA USHAULI KWA WAIMBAJI



Kutokana na kuwa na mabadiliko ya waimbaji wengi kuacha kuimba na kuanza kurapa au kufanya vyote viwili kwa pamoja mwanamuziki mkongwe Snoop Lion amesema kuwa muimbaji hawezi kuwa rapa

Alisema mara zote waimbaji wanalazimishwa kuwa marapa na ndio maana wanafanya vitu tofauti na kupoteza kabisa muziki huo maarufu duniani

Alitoa ushauri kuwa wakati mwingine ni suala la msingi kwa mwanamuziki kuwa mwangalifu katika muziki hasa kwa kufanya kile anachokifanya ambacho kipo ndani ya uwezo wake

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging