Google PlusRSS FeedEmail

MPIGIE KURA OMARY KATANGA AWEZE KUNYAKUA TUZO

Katika kuboresha burudani na michecho nchini Tanzania, Chama cha Ngumi kimeanzisha tuzo za kutambua mchango wa waandishi wa habari kwa kusaidia kuinua michezo hiyo nchini.

Mtangazaji wa kituo cha radio One nchini Omary Katanga anaomba wadau pamoja na mashabiki kumpigia kura kwa wingi ili aweze kunyakua tuzo za mtangazaji bora wa habari zinazohusu Masumbi nchini.

Ili kumuwezesha kushinda kinya'nganyiro hicho tuma ujumbe wa msg kwenda namba 15573 ukiandika ngumi 45 ambapo unaweza kupiga kadri uwezavyo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging