VITUKO vya mtaani, Njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Hussein Shaban(35) amefumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tegeta jijini Dar es Salaam.
Sakata hilo lilitokea kitongoji cha Nyeishozi, Tegeta kwa kumuhusisha Hussein ambaye ni mfanyabiashara na mke wa kigogo huyo ambaye jina lake tunalihifadhi.
Baada ya kukamatwa ugoni mwanaume huyo inadaiwa kuwa watu wenye hasira kali walimvua nguo na kumtembeza uchi.
Kwa kweli huo si utu.kama mtu kakosea hii ni adhabu mbaya sana.
JAMANI MBONA MKE WA KIGOGO HAJAVULIWA NGUO KWANZA HUYO MAMA ANA UMRI GANI NDIYO KAMPONZA HUYU KIJANA KWA TAMAA ZAKE MKE WA MTU AU HATOSHEKI NA MUME WAKE