Google PlusRSS FeedEmail

SNOOP DOGG ATOA SHOW YA NGUVU YA KUJITOLEA KATIKA BIRTHDAY BASH YA MJ

Ikiwa ni masaa machache tangu mfalme wa muziki wa   pop duniani marehemu Michael Jacksoni aliyefariki Dunia, mnapo tarehe 25 June 2009 huko Los Angeles Marekani fans wake wamesheherekea siku yake ya kuzaliwa  kwa style ya tofauti wakati yeye hayupo nasi hapa duniani..Michael alizaliwa tarehe 29 August 1958 Huko  Gary Indiana,Snoop Dogg ni moja kati ya wasanii ambao walijumuika na kupiga show ya nguvu katika kusherehekea miaka 52 tangu kuzaliwa kwake japokuwa show ilihudhuriwa na watu weusi wengi ila ilifana, sana, wengine walio hudhuria show hiyo na kufana ,ni Warren G, akiwepo Snoop mwenyewe vile vile watuwengine  maarufu waliohudhuria ni  Mteteahaki za binaadamu hasa Weusi,Al Sharpton ambaye naye alikuwepo.. Katika sherehe hizo.. kilichowafurahisha zaidi mashabiki waliohudhuria 
Kwa mwanamuziki  wakati alipokuwa akitumbuiza mwanamuziki Snoop Dog akiwa amevalia Glov aliyopewa na Hayati Michael Jackson..Snoop aliongeza kwa kumsifia J kuwa alikuwa anajua nini anafanya katika kazi yake....

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging