Google PlusRSS FeedEmail

MSOMALI WA OBAMA,ATIA MAGUU KATIKA KITONGOJI DUNI KENYA KIBERA NINI CHAMPELEKA?

Rapper mwenye asili ya kisomali K’naan ametembelea  Kibera (kenya) ikiwa ni moja kati ya sehem anazofanyia shooting (Canadian TV series) ya kipindi kinachoitwa 4REAL, ambapo huchukua macelebrity na kuwatembeza duniani kote kuungana na young leaders.

mastar wengine ambao wameshawahi kupitia 4REAL series ni pamoja na Cameron Diaz, Mos Def, Joaquin Phoenix, Eva Mendes, Casey Affleck na Flea wa Red Hot Chili Peppers.

hii ni video ambayo K naan aliishoot akiwa Eastleigh (Somali Ndogo) wakati alipokuwa mkibizi nchini kenya nyimbo inaitwa Soobax (unity),ngoma inaonyesha hasira juu ya vita visivyoisha Somalia, vilivyomuacha yeye na wengine wengi wakiwa wakimbizi

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging