Google PlusRSS FeedEmail

NE-YO SASA AJA NA LIBRA SCALE OCTOBER 5 ITAKUWA SOKONI KOTE DUNIANI

Mshindi wa Tunzo za Grammy Award na pia ni Mwanamuziki,mwandishi wa mashairi ya muziki  vile vile ni mcheza filamu kutoka nchini marekani Ne-Yo hivi sasa yuko katika Champagne ya kutangaza albamu yake mpya ambayo ameipatia jina LIBRA SCALE.,ambayo itakuwa sokoni duniani kote siku ya  October 5th,


Champagne hiyo amabayo imeanzia huko Cleveland,aliizindua siku ya Ijumaa ya tarehe  27 ya mwezi August ambayo itaendelea mpaka siku ambayo itakuwa sokoni October 5 mwaka huu.

Katika Champagne hiyo Ne-Yo  anaifanya kama style ya tamthilia katika kumbi za starehe na mahotel katika States tofauti tofauti huko kwao marekani na baadae atahamia bara ulaya, 

Katika kuinadi Albamu yake hiyo ameshaachia ngoma moja inayokwenda kwa jina la  One In A Million,ambayo imeanza kuchezwa na vituo mbali mbali vya radio hapa nchini...


Na mwisho wa wiki Champagne hiyo anaihamishia huko Atlanta



This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging