Google PlusRSS FeedEmail

T.I. And Tiny Arrested For Drug Possession


Usiku wa Jumatano iliyopita On mwanamuziki ,Clifford T.I Harris na mpenzi wake Tameka "Tiny" Cottle walikamatwa na kuwekwa ndani huko West Hollywood wakati walipokuwa katika traffic stop...Habari kutoka kwenye kikosi cha LAPD states, walitiwa ndani kutoka na kukutwa wakiwa wametumia kiasi kikubwa cha bangi..( marijuana ).. Harris and Cottle vile vile wa walikutwa wakiwa wanavuta bangi katika gari waliokuwa wanalitumia,,huko West Hollywood na walipelekwa katika kituo sherriff's station,huko West Hollywood ,kutokana na kosa hilo kila mmoja anatakiwa kulipa faini ya dolla $10,000..
T.I alikuwa huko hollwood baada ya mapuziko mafupi baada ya kumalizika kwa kurecord filamu inayokwenda kwa jina TAKERS..T.I Alipata donge nono la dolla million 21 baada ya kusaidia ku produce filamu hiyo...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging