Google PlusRSS FeedEmail

ALBAMU MPYA YA 50 CENTS WAMO EMINEM,LIL KIM,BUSTA RHYMES,AKON NA WENGINE KIBAO

Curtis James Jackson III aka 50 Cent amesema kuwa wakati yuko kwenye tour ya Europe alizimia sana dance music alipozisikia wakati yuko kwenye clubs za huko na huenda aka-record au kukawa na uptempo songs.
Kupitia katika ukurasa wake katika mtandao wa kijamii Twitter  50 Cent aliweka picha ya albamu yake hiyo akiwa na lengo  akitangaza kuwa wamashapiga mzigo kwa ajili ya album yake mpya ya 5 itakayoitwa Black Magic itakayotoka baadaye mwaka huu na itakua na vichwa kama Eminem,Lil’ Kim,Busta Rhymes,Akon,Swizz beatz na wana wengine kibao.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging